Isaiah 50:10


10 aNi nani miongoni mwenu amchaye Bwana,
na kulitii neno la mtumishi wake?
Yeye atembeaye gizani,
yeye asiye na nuru,
na alitumainie jina la Bwana,
na amtegemee Mungu wake.
Copyright information for SwhKC